Thursday, May 7, 2009

ni shida baada ya shida, yamekuwa ni mashida...

Ni asubuhi nyingine shida ndiyo hayo yamenikodolea macho,
kila ni lalapo ombi ni kuwa niamkapo mashida yakuwe yame enda
kama si kupunguka. Moshi angani yananifanya kifua ifungane.
Kwani ni sisi tu tutashinda kwa upungufu wa vitu kawaida vya maisha?
Chakula ni kimoja tu kwa siku ya leo.
Sikupenda kwangu lakini nimepungukiwa uwezo.
Hela hamna kwa hivyo sina lakunua,
kila nipitapo watoto wanacheza kwa baridi bila nguo unaofa,
hamna masomo kuwa funza wawe watu wema kwa jamii.
Watoto hawa bila malazi bora, watakuwa wezi wa kesho
kuangaisha maisha ya wale waendao shuleni.
Mwenyezi Mungu ndiye suluhisho ya maisha bora,
bila yeye hatuwezani kamwe.
Ukinniona nimevaa surwali yenye viraka nakupasuka,
si ati fashoni , ni ukosefu wa hela mfukoni,
ukiniona silkuli wakati flani, si ati nkuchunga mwili,
ni ukosefu wa hela mfukoni kuniweza kukula vyakula vitatu kwa siku.

No comments:

Post a Comment